Wakazi wa mtaa wa Owino Uhuru, Kaunti ya Mombasa, wamekuwa wakifa mmoja baada ya mwingine kutokana na athari za sumu ya lead iliyozalishwa na kiwanda cha kuyeyusha betri. Juhudi zao za kutafuta haki tangu mwaka 2009 kilipoanzishwa kiwanda hicho hazijafinikiwa.
Add comment