Hii ni sehemu ya tatu ya makala ‘Kibubusa Cha Kanjo’ yanayoangazia dhuluma na ukatili ambao maafisa wa baraza la jiji la Nairobi huwatendea wachuuzi. Kando na kuwapiga kitutu wachuuzi, maafisa hawa huwadunga kwa visu kiholela. Wachuuzi wengi wameuawa kufikia sasa. Walioponea wangali wakiuguza majeraha mabaya ya kupigwa au kudungwa visu. Haya yote hayangefanyika ikiwa wachuuzi hawa walikubali kutoa hongo.

Let the world know:

Africa Uncensored

View all posts

Add comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *