Katika historia ya Uchaguzi Mkuu nchini Kenya, idadi kubwa ya wapiga kura imekuwa ikizingatia vyama au mirengo ya kisiasa kuliko sifa za watafutao uongozi. Hii leo kwenye makala ya #UpigajiKuraWangu, Godfrey Ouma anaeleza kwa nini hataegemea vyama vya siasa atakapokuwa akichagua viongozi tarehe 8 Agosti 2017.
Add comment