Ukabila nchini Kenya umeathiri kwa muda mrefu jinsi Wakenya wamekuwa wakipiga kura kwenye uchaguzi mkuu. Hii ni kutokana na imani kuwa kiongozi wa kabila la mtu akitawala basi mtu huyo atafaidi kwa njia moja au nyingine. Lakini mara nyingi hili huwa si kweli. Mwanahabari wa Africa Uncensored, Dennis Mbae, anaangazia athari za siasa za ukabila hapa nchini na suluhu yake kwenye makala yafuatayo.

Let the world know:

Africa Uncensored

View all posts

Add comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *